P.c.P Dancers doing a tour in Zambia led by a director in East Africa Prince Charles Dir. We are in the whole issue of entertainment We thanks our fans for giving us cooperation.
Norubelle ft Mc Dullah_ Sielewi(Official Music Video)
Norubelle ni kijana wa Ifakara na hii inaonyesha ni jinsi gani vijana wa Ifakariano ni moto wa kuotea mbali katika maswala mazima ya kuleta burudani.
huu ni mziki wa singeli ambao unatamba sana hususani Tanzania. Video kali mziki mkali akimshirikisha Mc Dulla chini ya Production ya mkali wa Ifakara Prince Charles Dir.
Kujituma ndio zetu kwani kila kwenye juhudi mafanikio upatikana tumeamua kupambana maana kazi ni kazi vibaya kuiba.
Ifakariano ndio kwetu na hizi ndio burudani za Uswahilini kwetu Heshima kwako Prince Charles Production kutoka Ifakara Tanzania.
Young people from Ifakara TANZANIA decided to register for me in the whole issue of entertainment. These young men are under the lead...
Recent Posts
Unordered List
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
Aliquam tincidunt mauris eu risus.
Vestibulum auctor dapibus neque.
Text Widget
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua. Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.