Tuesday, March 6, 2018

 

HABARI YA MJINI NORUBELLE ft MC DULLAH KUTOKA IFAKARIANO TANZANIA.

Norubelle ft Mc Dullah_ Sielewi(Official Music Video)



Norubelle ni kijana wa Ifakara na hii inaonyesha ni jinsi gani vijana wa Ifakariano ni moto wa kuotea mbali katika maswala mazima ya kuleta burudani.
huu ni mziki wa singeli ambao unatamba sana hususani Tanzania. Video kali mziki mkali akimshirikisha Mc Dulla chini ya Production ya mkali wa Ifakara Prince Charles Dir.

Mawasiliano;
+255 657759962/+255 683059734
Share:

0 comments:

Post a Comment